Mpango wa Maisha (Swahili)
Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia. Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza mchakato wa kurudisha mashamba yao na walifanikiwa kupata kwa urasmi haki ya ardhi zao kutoka kwa serikali . Tangu wakati huo jamii ya Misak waliendeleza Mpango wa Maisha kama kifaa cha kuamua maendeleo kuhakikisha faida zao zitahifadhiwa kwa vizazi vijavyo. Dakika kumi na nne 23