Wanawake Mashujaa (Swahili)
Wanawake asili wa Maasai Tanzania waliongoza harakati za kulinda maeneo yao. Filamu hii ni kuhusu wanawake wenye nguvu walio ongoza harakati za haki ya ardhi kwa watu asilia. Bila indini ya wanajamii, sehemu kubwa ya ardhi ya wanajamii hao ilichukuliwa. Pindi wanawake katika jamii hiyo walipogundua kuwa jitihada za kulinda ardhi yao ilishindikana, waliamua kuchukua maamuzi mikononi mwao. Wanawake hao walitumia muamko wa kusimama, kuandamana na shinikizo la kisiasa ili kuongoza harakati katika kulinda maeneo yao. Dakika kumi na nne 15