Mawasiliano (Swahili)
Filamu hii inaangalia jinsi jamii tatu kutoka Indonesia, Tanzania na Ecuador wanavyotiumia redio, mtandao, kuhusisha vyombo vya habari vya kitaifa na vya kimataifa, na pia kutumia Filamu vya mapambano yao ili kuelezea mapambano yao mashinani na duniani kote. Dakika kumi na nne 12
Running Time: 12 mins
Language: Swahili English Français Bahasa Indonesia Español Tok Pisin
Categories: Self Determined Development, Community Organising, Cultures & Languages,
Mwongozo huu ni wa wawezeshaji wa jumuiya ambao wanaandaa maonyesho ya filamu za Himaya za Maisha. Ina taarifa zaidi kuhusu filamu, ukweli wa ziada juu ya majalada ya mada na mawazo ya maswali ya kuanzisha mijadala.
Download Kijitabu kwa Mwezeshaji
Related Video:
Mpango wa Maisha (Swahili)
Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia. Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza…
Mbinu za Kampuni (Swahili)
Filamu hii inaelezea mbinu ambazo makampuni yanatumia ili kuwashawishi wanajamii kuwakubalia na kuwaunga mkono katika miradi yao. Na pia inaonyesha kuwa mbinu hizi zinatumika katika sekta mbalimbali…
Haki za Ardhi (Swahili)
Filamu hii inaelezea na kulinganisha mikataba ya jamii katika ardhi ya umma, ardhi za kibinafsi na umiliki wa maeneo ya kijumuiya. Ilamu hii ni maalumu kwa jamii ambazo haki za ardhi bado…
Hekari nusu Milioni za Matumaini (Swahili)
Kaskazini Mahariki ya Guatemala, miongoni mwa uharibifu wa kale wa Maya na misitu ya mvua, kuna msitu mkubwa dunia nzima uliotunzwa na jamii. filamu hii inaeneza habari njema na hadidhi kuhusu jinsi…
Himaya za Maisha : Utangulizi (Swahili)
Meneo ya maisha ni nini? Filamu hizi ni kwa ajili ya nani? jamii inaweza vipi kutumia filamu katika vifaa vya kifurushi hiki? Kama mwelekezaji, inafaa kutazama filamu fupi ya utangulizi kabla ya…
Mawasiliano (Swahili)
Filamu hii inaangalia jinsi jamii tatu kutoka Indonesia, Tanzania na Ecuador wanavyotiumia redio, mtandao, kuhusisha vyombo vya habari vya kitaifa na vya kimataifa, na pia kutumia Filamu vya mapambano…
Tuitunze Asili, Kutetea Maisha (Swahili)
Filamu hii imeandaliwa na LifeMosaic, na viongozi wengi wa kiasili, watengeneza filamu na washauri kutoka Afrika, Asia, Amerika Kusini, na Polynesia. Filamu Inasimulia hadithi ya vitisho kwa…
Upokonyaji wa Ardhi (Swahili)
Jamii asili dunia nzima wanaona ardhi zao zikitishiwa na sekta za madini, viwanda na kilimo na pia miradi ya maendeleo na kuhifadhi utalii. Filamu hizi zinatazama viwango vya vitisho, wanaoongoza…
Utangulizi - Himaya za Maisha (Introduction - Swahili)
Himaya za Maisha : Utangulizi - Meneo ya maisha ni nini? Filamu hizi ni kwa ajili ya nani? jamii inaweza vipi kutumia filamu katika vifaa vya kifurushi hiki? Dakika kumi na nne 4 Himaya za Maisha -…
Utumiaji wa Sheria (Swahili)
Filamu hii inaangalia kesi tatu za kisheria katika mataifa ya Indonesia, Tanzania na Paraguay ikitumia sheria za kitaifa na kimataifa. Pia inaangazia faida na hasara za kuenda kotini. Dakika kumi na…
Wanawake Mashujaa (Swahili)
Wanawake asili wa Maasai Tanzania waliongoza harakati za kulinda maeneo yao. Filamu hii ni kuhusu wanawake wenye nguvu walio ongoza harakati za haki ya ardhi kwa watu asilia. Bila indini ya wanajamii,…