Tuitunze Asili, Kutetea Maisha (Swahili)
Filamu hii imeandaliwa na LifeMosaic, na viongozi wengi wa kiasili, watengeneza filamu na washauri kutoka Afrika, Asia, Amerika Kusini, na Polynesia. Filamu Inasimulia hadithi ya vitisho kwa bayoanuwai, dharura ya hali ya hewa, na uharibifu wa haraka wa anuwai ya kitamaduni: hadithi iliyounganishwa ya upotezaji ambayo inatishia uwepo wa mwanadamu kwenye sayari. Tunasikia kutoka kwa viongozi wa kiasili duniani kote ambao wanachukua hatua na kuendeleza masuluhisho yanayoongozwa na wazawa kwa majanga haya. Ni wito kwa wote kutafuta njia za kuelekea kwenye mustakabali thabiti, na kuhamasisha hatua za pamoja kutetea maisha kote duniani. Filamu hii imeundwa kwa ajili ya hadhira ya kiasili, na kama chombo muhimu kwa wawezeshaji wa jamii wenye nyenzo, waelimishaji na waundaji harakati. Inatarajiwa kwamba taarifa hizi zitajenga jamii salama zaidi kulingana na muktadha wa kimataifa wa kudumisha na kukuza tamaduni na maeneo yao mbalimbali ili kuwa stahimilivu.
Filamu hii ni zao la mchakato wa uundaji-shirikishi unaojumuisha mashirika yafuatayo yanayoshirikiana yanayoleta pamoja mawazo na utafiti, mwongozo wa kitamaduni na kiroho, taswira, kisanii na utaalamu mwingine.
Find out about the indigenous filmmakers on this film
Find out about the indigneous leaders in this film
Watch more of LifeMosaic's films in Swahili
This film is availble in dubbed into several languages
Swahili, Maa, Spanish, Portuguese, Ilocano, Indonesian, English and an English subtitled version.
Thai and Māori versions are currently being produced.
Related Project:
Categories
Latest news
- LifeMosaic’s latest film now available in 8 languages
- การเผชิญหน้ากับการสูญพันธุ์ และการปกป้องวิถีชีวิต (Thai)
- LANÇAMENTO DO FILME BRASIL : Enfrentando a Extinção, Defendendo a Vida
- Enfrentando la Extinción, Defendiendo la Vida (Español)
- Peluncuran video baru dalam Bahasa Indonesia : Menghadapi Kepunahan, Mempertahankan Kehidupan